Afisa Raslimali watu wa wilaya Bi Carolina Kayombo akihakiki vyeti vya watumishi.
Afisa Elimu vifaa na takwimu (M) wa wilaya akihakiki vyeti vya watumishi.
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Chemba wakiwa kwenye uhakiki wa vyeti
Afisa Elimu wilaya (M) Bi.Dafroza Ndalichako akihakiki vyeti vya watumishi
Katibu wa Afya wa (W)
Ndg Joseph Bura akihakiki vyeti vya watumishi
nahitaji kuwasiliana na ofisi ya DED - CHEMBA ila namba zenu hazipatikani nipatieni cotact zenu tafadhali.
ReplyDelete