MAFUNZO YA MASHINE ZA KIELEKRONIKI (POS) ZA KUKUSANYIA
MAPATO YAMEANZA LEO 05/09/2016 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA.
Mafunzo haya yatakuwa ya siku mbili kuanzia tarehe
05-06/09/2016 kwa kushirikisha baadhi ya Maafisa kutoka Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, watendaji wa kata na wakusanyaji ushuru.
Mkufunzi wa mafunzo Mr. Hussein kungulilo kutoka Dayone Softcom
Technologies (T) Limited akitoa maelekezo ya jinsi ya kutumia Mashine za
kielekroniki (POS) za kukusanyia mapato.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya mashine za kielekroniki
(POS) za kukusanyia mapato wakijifunza jinsi ya kutumia mashine hizo.
No comments:
Post a Comment